Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, October 22, 2023

BWANA WA MAJESHI AKAAYE MLIMA SAYUNI.

Mimi Dustan Shekidele nikiwa na watoto hawa niliopewa na Bwana. Tumain Dustan Shekidele[kushoto na Neema Dustan Shekidele[kati]
Mabint wa Kisambaa kutoka Milima ya Usambara Mlalo Lushoto Tanga

Tumain na Neema wakiwa na Msanii Maarufu wa muziki wa Kizazi kipya nchini Seleman Msindi ‘Afande Sele.’
lkumbukwe Tumaini amesoma shule ya Msingi na Tunda Seleman Msindi ’Mtoto wa Mfalme Afande Sele’. Simba wa Morogoro’ a.k.a Mtu Pori Og.

 


lSAYA 8. 18.
“Angalieni,Mimi na Watoto hawa niliopewa na Bwana tu lshara na ajabu katika lsrael,zitokazo kwa Bwana wa Majeshi yeye akaaye katika Mlima Sayuni”.
“Behold l and the Children whom the Lord hath given me are for signs and for wonders in lsrael from the Lord of hosts which dwelleth in mount Zion”
Hilo ndilo neno letu la Leo Jumapili ya October 22.
 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...