Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, February 7, 2023

KUMBUKIZI.




 

 

 Ukiwa na Tuzo nyingi kabatini unaweza kujipa Uprofesa wa Mchongo.

 

Mwandishi wa Mtandao huu atamkumbuka daima aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari Michezo, Utamaduni na Sanaa  Hayati Joel Nkya Bendera ambaye pia kwa nyakati tofauti alikuwa Mbunge wa Jimbo la Korongwe  Tanga na  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro .

Katika uhai wake Marehemu Bendera alimkabidhi Tuzo mbili za heshima Mwandishi Dunstan Shekidele baada ya taasisi mbali mbali za Mkoa wa Morogoro kuthmani utendaji kazi wa Mwandishi huyo aliyejikita zaidi katika habari za kijamii akizunguka vijiji vingi vya Mkoa wa Morogoro kupaza sauti za wanyonge,

 

Aidha shukrani nyingine nazielekeza kwa aliyekuwa Meneja Mkuu wa Abood Media Hayati Karim Besta ambaye pia alinikabizi Tuzo Moja.

 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...