Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Friday, October 14, 2022

MR PAPARAZI.


 


Waandishi wa habari Mkoa wa Morogoro kutoka kulia ni Malima ambaye pia ni Mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania’JWTZ’ wa Kati ni Warioba  na kushoto ni Shekidele wakiwa nyuma ya gori Uwanja wa Jamhuri Morogoro na makamera yao wakisubiri kupiga Picha ya bao kwenye moja ya michezo ya ligi Kuu Tanzania bara..

No comments:

Post a Comment

MAJAJI 2 WAHUDHURIA IBADA YA KUMUOMBEA KIGOGO WA SUA MAREHEMU DKT MBILU.

         Mchungaji Dkt Rhoda Chamshama akiongoza ibada hiyo Katibu Mkuu wa  KKKT Usharika wa Mji Mpya Mshana akimuaga Mzee wake wa kanisa S...