Waandishi wa habari Mkoa wa Morogoro kutoka kulia ni Malima ambaye pia ni Mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania’JWTZ’ wa Kati ni Warioba na kushoto ni Shekidele wakiwa nyuma ya gori Uwanja wa Jamhuri Morogoro na makamera yao wakisubiri kupiga Picha ya bao kwenye moja ya michezo ya ligi Kuu Tanzania bara..

No comments:
Post a Comment