Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, July 12, 2022

DIAMOND PLATNUMZ AKIWASHA BALAA

Hiyo  sio ndege [Air Bus] No ni Msanii Diamond Platnumz akinyanyuliwa juu na wacheza shoo wake ikiwa ni moja ya staili zake za kukong'a nyoyo za mshabiki uwanja wa Jamhuri Morogoro



 Mwandishi wa Mtandao huu akimhoji Diamond baada ya kutamatika kwa shoo hiyo.

 KUMBUKIZI.

STAA Mkumbwa wa Muziki wa Kizazi kipya kwa sasa barani Afrika Mzaliwa wa Mwisho wa Reli Kigoma aliyekulia Tandale Dar, Nassib Abdul’ Maarufu Diamond Platnumz a.k.a Baba Tiffa, akipafomu kwenye tamasha lililoandaliwa na moja ya Mitandao ya Simu.

Shoo hiyo ya Kibabe iliyoshirikisha wasanii wengi wakubwa nchini ilipigwa Uwanja wa Jamhuri Morogoro takribani Miaka 6 iliyopita.

Shoo hiyo kiingilio kilikuwa ni namba 11 yako kwa maana ya
mguu wako a.k.a Bureeee.

No comments:

Post a Comment

MUNGU ANASEMA WATU WABAYA NI KAMA BAHARI ILIYOCHAFUTA,HUTOA TOPE NA TAKATAKA.

Dustan Shekidele akifanya mahojiano na Watumishi wa Mungu Askofu Jacob Ole Mameo wa KKKT Jimbo la Morogoro.   ......Shekidele akiungana kwen...