Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, January 8, 2022

HII KALI.MZEE ATOA UFAFANUZI MPAPATI DUME NA JIKE INAVYO JAMIINA KUZAA MATUNDA.

Mpapai Dume ambao maisha yake yote hauza matunda unatoa mau ambayo kwa Mujibu wa Mzee Hamad Nyuki akivyonza maji ya Ua hilo akienda kuvyonza tena Ua la Mpapai Jike Muunganiko wa mbegu hizo huzaa Tunda aina ya Papai. ili kupata ukweli wa jambo hili Mwandishi wa Mtandao anakusudia kumtafuta Profesa wa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo'SUA'kitengo la zao la Mipapai ili aweze kutujuza kitaalamu jambo hilo

                                                  Mpapai Jike

Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

WAKATI  Mungu ameviumba Vimbe hai kama vile binadamu Wanyama, Ndege na Samaki kwa jinsia mbili za kike na kiume Mtunda aina ya Mpapa nao unatajwa kuumbwa na jinsi mbili za Kike na Kiume.

Kufuatia hali hiyo jana Mtandao Huu ilitinga kwenye bustani Maarufu ya Mboga mboga na Matunda iliyopo eneo la Makutano ya Kata za Mji Mpya, Kichangani na Mwembesongo, kando kando ya Mto wa Morogoro ambapo wakulima hao wanatumia maji ya Mto huo kumwagilia Mazao yao.

 

Mmoja wawakulima wa eneo hilo Mzee Hamad Chonile alijaribu kueleza namna ya Mpapai dume unavyojamiiana na Mpapai jike kupitia mdudu Nyuki. Clip Video ya maelezo ya  Mzee huyo itaruka hewani hivi Punde hivyo usicheze mbali na Mtandao huu muda wote.

              



 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...