Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, September 1, 2021

KUMBUKIZI.


 


Mshambuliaji hatari wa zamani wa timu ya Pamba ya Mwanza na timu ya Taifa ya Tanzania’Taifa Stars’ Fumo Felisiani’Mzee wa Mashuti Makali’.

Akizungumza na Mwandishi wa Mtandao huu takribani miaka 5 iliyopita  Kwenye tamasha la wachezaji wa zamani’ Maveterani kutoka Mikoa mbali mbali, lililofanyika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

 

Miongoni mwa timu zilizoshiriki tamashani hilo ni pamoja na Arusha, Kagera, Shinyanga, Mwanza na Morogoro ambapo Mwandishi wa habari hizi aliambatana na timu kabambe ya Moro Veterani  ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa tamasha hilo.

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...