Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, August 14, 2021

DIWANI AMTAJA SAMATA KWENYE FAINALI ZA NDONDO CUP

Diwani wa Kata ya Mkundi Mh Seif Chomoka ambaye al;ikuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya Michuano ya The Gunners Ndondo Cup iliypigwa jana uwanja wa Saba saba Manispaa ya Morogoro akifuatilia Mtanange huo kati ya Wakushi Fc na Chadongo Fc.
Wakushi aliibuka Bingwa wa Michuano hiyo baada ya kuitandika Chadongo Pelnaty 5-4, dakika 90 za awari timu hizo zilitoka sale ya bao 1-1

No comments:

Post a Comment

KILA LENYE KHERI MWANA MOROGORO KARIM MANDONGA.

        Na Dustan Shekidele Morogoro, MWANA Morogoro Bondia Karim Mandonga a.k.a ‘Mandonga Mtu kazi’ Mkazi wa Kata ya Mkundi Manispaa ...