Thursday, March 5, 2026

KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA MWANAMKE DUNIA MACHI 8

 

WAIMBAJI Mastaa wakike wa nyimbo za inijili nchini hawa hapa.

Kulia ni Bahati Bukuku[kati] Martha Mwaipaja na Stara Thomas wakipozi mbele ya kamera za Mtandao huu.

 


 Starah Thomas akihojiwa na Mwandishi wa habari hizi siku miaka kadhaa iliyopita kuhusiana na tabia yake ya mchana anaimba nyimbo za dini ‘ akihubiri kwa njia ya nyimbo makanisani na usiku anaimba nyimbo za kidunia Bongofleva kwenye kumbi za starehe.

 

Habari hiyo ilitoka kwenye Magazeti ya Global  Publishers na kwenye Mtandao pendwa wa Shekidele.

 

Waimbaji hawa wananyimbo nzuri zisizochuja masikioni na machoni mwa wasikilizaji na watazamaji wengi.

No comments:

Post a Comment