Saturday, March 14, 2026

ARSENAL NI MOTO WAKUOTEA MABALI MSIMU HUU.






 

Shekidele Mkude Simba akiongoza taifa la Mashabiki wa Arsenal wa pande zote la dunia kwenye maombi maalumu ya kuiombea timu yetu kutwaa ubingwa msimu huu baada ya kuonga ligi kuu ya England kwa takribani msimu mzima. 
 
Mwana Arsenal Popote ulipo endeleza maombi hayo ingawa taa ya njano upande wetu imeshawaka kuelekea taa ya kijana,huu Mwaka ni wetu.
 
Baadhi ya Mashabiki wa Mashetni Wekundu Man U walituhesabia miezi ya kukaa kilele mwa Ligi.
 
Sasa habari iwafikie X Mas imepita Bado tungali kilele Mwezi dume Januari imepita tungali kilele.Mwenye wawapendano Februari nao imepita tumeendelea kuziongoza timu zote sasa tunaimalizia mwezi wa Toba Machi tukiendelea kupata upeoo mwanana kileleni mwa Ligi pendwa duniani 
 
shekidele Ez Come Ez Go Sina hatia😃😃🔥🔥🔥

No comments:

Post a Comment