Winga wa timu ya Usalama ya Ulanga Ombeni Kione akimtoka kwa kasi beki wa Kilombero Soccer Net Academy,
Abubakari Limbanga na kumuacha akiramba nyasi za uwanja wa Jamhuri huku Mwamba Kione akiendelea na safari lake.Kipa wa Kilo Net kutoka lfaraka Wilaya Kilombero,Philimon Msokile akiruka juu kama nyama na kupangua mpira katikati ya msitu wa maadui zake wachezaji wa timu ya Usalama kutoka Wilaya ya Ulanga.
Picha zate na Dunstan Shekidele, Morogoro.
No comments:
Post a Comment