Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, September 5, 2024

ABOOD BUS NDANI YA NAIROBI KENYA






 

King Of The Road.
Abood Bus vyuma vipyaaa tetele hao bado makinga wanasubiri kupangiwa safari.
Ifahamike kwa sasa Abood zinavuka mipaka mpaka Kenya.
Utamu Ubwela

No comments:

Post a Comment

MAJAJI 2 WAHUDHURIA IBADA YA KUMUOMBEA KIGOGO WA SUA MAREHEMU DKT MBILU.

         Mchungaji Dkt Rhoda Chamshama akiongoza ibada hiyo Katibu Mkuu wa  KKKT Usharika wa Mji Mpya Mshana akimuaga Mzee wake wa kanisa S...