Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, March 11, 2024

WAISLAM KESHO WANAINGIA KWENYE MFUNGO WA RAMADHAN.

 

MUFTI Mkuu wa Tanzania ametangaza kwamba, Mwezi umeandama jioni ya Leo, hivyo kesho A

March 12 rasmi ndugu zetu waislam wanaingia kwenye mfungo wa siku 30.



 

Mtandao huu unawatakia kila lenye kheri Waisjamu wote watakaojaliwa kutimiza nguzo hii muhimu.

Aidha Mtandao huu unamuomba Mwenyezi  Mungu Mwingi wa Rehemu kuwasamehe Waislam wote wenye udhuru unaopelekea kushindwa kufunga. 

No comments:

Post a Comment

MAJAJI 2 WAHUDHURIA IBADA YA KUMUOMBEA KIGOGO WA SUA MAREHEMU DKT MBILU.

         Mchungaji Dkt Rhoda Chamshama akiongoza ibada hiyo Katibu Mkuu wa  KKKT Usharika wa Mji Mpya Mshana akimuaga Mzee wake wa kanisa S...