Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, November 7, 2023

NUKUU YA WIKI












 

Mzazi anapokueleza kwamba Mwanangu kuwa uyaone  hana maana  uyaone Maghorofa ya Mjini au Vichaka vya Kijijini

 Ana maana Uyaone maisha yalivyo na Changamoto.

Hasi na Chanya. Negative na Positive,Raha na Shida.

Mwandishi wa Mtandao huu Dustan Shekidele akihangaika kutafuta Maisha, akisaka habari takribani Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro akitumia Usafiri wa Pikipiki  akipita kwenye Mabonge, Milima,Misiti Mikubwa na Mbuga za Wanyama wakali, nyakati za Usiku na Mchana.

 

No comments:

Post a Comment

MAJAJI 2 WAHUDHURIA IBADA YA KUMUOMBEA KIGOGO WA SUA MAREHEMU DKT MBILU.

         Mchungaji Dkt Rhoda Chamshama akiongoza ibada hiyo Katibu Mkuu wa  KKKT Usharika wa Mji Mpya Mshana akimuaga Mzee wake wa kanisa S...