Mpole sana Mh Abood ulimpigania sana Mpendwa Mama yako kwenye hospital mbali mbali zikiwemo za nje ya nchi.
Sisi tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi mbele yake nyuma yetu.
Mchungaji Dkt Rhoda Chamshama akiongoza ibada hiyo Katibu Mkuu wa KKKT Usharika wa Mji Mpya Mshana akimuaga Mzee wake wa kanisa S...
No comments:
Post a Comment