Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Friday, May 26, 2023

POLISI MORO WATOA ELIMU KWA BODA BIODA.




 

Na Dustan Shekidele,Morogoro.
 
Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro limefanya Oparesheni ya kukamata madereva wa pikipiki( bodaboda )wasiofuata sheria za Usalama barabarani na kutoa elimu kwa madereva hao.
 
Akitoa elimu hiyo Kaimu Mkuu wa kikosi Cha Usalama barabarani Wilaya Mkaguzi Victoria Mgonja nje ya kituo kikuu Cha Polisi Mkoa wa Morogoro jana Mei 26 Amesema ili kuepuka madhara makubwa yatokanayo na ajali wanapaswa wavae kofia ngumu na kujiepusha kupakia abiri zaidi ya Mmoja Maarufu Mishikaki.

No comments:

Post a Comment

MAJAJI 2 WAHUDHURIA IBADA YA KUMUOMBEA KIGOGO WA SUA MAREHEMU DKT MBILU.

         Mchungaji Dkt Rhoda Chamshama akiongoza ibada hiyo Katibu Mkuu wa  KKKT Usharika wa Mji Mpya Mshana akimuaga Mzee wake wa kanisa S...