Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, January 16, 2023

KUMBUKI YA MISS TANZANIA 2015



 
KUMBUKIZI YA MAMA NA MWANA

Miss Tanzania wa Mwaka 2015 Sitti Mtemvu[kulia]akipozi mbele ya kamera za Mtandao Pendwa wa shekidele akiwa sambamba na mama yake mzazi Bi,Mariamu Mtemvu, baada ya kutembelea nyumbani kwao Morogoro Mara baada ya kutwaa taji hilo kubwa la Urembo nchini.

Ifahamike baba mzazi wa Mrembo huyo Mzee Mtemvu aliyekuwa Mbunge wa Temeke Dar ni Mwenyeji wa Mkoa wa Morogoro.
Kushoto Siti Mtemvu akisalimiana na wana Morogoro waliojitokeza kwa wingi kumpokea Picha na Dustan Shekidele.

No comments:

Post a Comment

MAJAJI 2 WAHUDHURIA IBADA YA KUMUOMBEA KIGOGO WA SUA MAREHEMU DKT MBILU.

         Mchungaji Dkt Rhoda Chamshama akiongoza ibada hiyo Katibu Mkuu wa  KKKT Usharika wa Mji Mpya Mshana akimuaga Mzee wake wa kanisa S...