LIGI kuu England
"Hali halisi husema Kweli kuliko mtu kusema chochote"
Kauli hii imedhihirika usiku huu baada ya timu Bora duniani kwa sasa Arsenal kuwanyuka wemyeji wao Tottenham Hospur bao 4-1
Hali halisi inaonyesha pichani mashabiki wa Spur wanao ishi mbali na mji, Bunju.Tegeta Nyuki.Mbezi Mwisho Chamazi.
Hooo wanaisusa timu yao na kuondoka uwanjani vichwa chini Wana kwemda kununia kwako.





No comments:
Post a Comment