Waamuzi wakiziongoza timu kuingia uwanja wa Jamhuri Morogoro
Kikosi cha Maafande wa Transit Camp
Kikosi cha Pamba Jiji
Waamuzi na Kamisaa wa mchezo wakiwa katika picha ya pamoja na Manahodha wa timu zote mbili
...Papatu papatu uwanjani
...Kipa wa Pamba Jiji akipanga safu yake ya ulinzi
'Suoer Star' wa Pamba Jiji Haruna Chadongo akimiliki mpira huku akichungwa na beki wa Transit Camp
Mshambuliaji wa Pamba Jiji akifumua shuti kuelekea lango la Transit Camp
Picha zote na Dustan Shekidele Morogoro
No comments:
Post a Comment