Wednesday, February 8, 2023

MAYELE KUTETEMA JUMAPILI UMANGANI?


 

PICHA KALI YA WIKI.

 Mshambuliaji hatari wa Mabingwa wa kihistoria  Young Africans Sports Club  Mkongo Man Fiston Kalala Mayele akiwa na familia yake.

 

Kwa sasa Mayele yuko nchini Tunisia na timu yake ya Yanga ambapo Jumapili wanaanza ligi ya shirikisho hatua ya Makundi wakiwa ugenini huku Mayele akijiandaa kutetema ‘Umangani’

 

No comments:

Post a Comment