Sunday, July 3, 2022

BWANA HARUSI AFARIKI DUNIA MUDA MFUPI KABLA YA KUFUNGA NDOA,


 

INAUMA SANA.

Bwana harusi  Ramadhan Rashid Mtakahera ‘Maarufu Tana Best’amefariki ghafra muda mfupi kabla ya kufunga ndoa.

 Shehe Mkuu wa Kata atoa neno juu ya kifo hicho.

 Habari kamili na Picha zaidi za tukio hilo zitaruka hewani hivi punde kwenye Blog Pendwa ya Shekidele. www.shekideletz.blogspot.com

No comments:

Post a Comment