Saturday, October 2, 2021

UJUMBE WA NENO LA MUNGU LEO JUMAPILI

Niko na na Jeshi kubwa Mkoa wa Morogoro, aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro’RPC’ Leonard Poul[Kulia] anayeongea na Simu ya Upepo Radio Call’.
 

2MAMBO YA NYAKATI 20-15

”Akasema Sikieni Yuda wote,nanyi mkaao Yerusalemu,na wewe mfalme Yehoshafati, Bwana awaambia hivi Msiogombe wala msifadhaike  kwa ajiri ya Jeshi kubwa hili, kwani Vita si yenu bali ni Mungu.”

Hilo ndilo neno letu la Leo Jumapili ya Octobar 3.

             


No comments:

Post a Comment