Sunday, October 6, 2024

HAYATI RHUMBA BOY ENZI ZA UHAI WAKE AKINYAKUA UBINGWA WA mKOA


 Hii ni mwaka 2000 hayati Rhumba Boy alivyofanikiwa kunyakua Ubingwa wa disko Mkoa wa Morogoro.
Toka kipindi hicho hayati Rhumba alifanikiwa kiulihifadhi gazeti hili la Dar Leo kama kumbukumbu yake k wa wanae na wajukuu zake.
Hii Leo mjane wa marehemu amenionyesha gazeti Hilo na kisha kuendele kulihifadhi picha hii ilipigwa na Mwandishi wa Mtandao huu

No comments:

Post a Comment