Thursday, August 1, 2024

MOTASOA MABINGWA WAPYA LIGI DARAJA LA 4 WILAYA YA MOROGORO


Mtunza fedha wa chama cha Soka Wilaya ya Morogoro'MMDFA' Sophia Kalinga [kati] mwenye kombe akiwa na baadhi ya wacheza wa MOTASOA Mara baada ya timu hiyo kukabidhiwa kombe hilo jana

 TIMU ya Morogoro Tanzanite Soka Academy [MOTASOA] Under 20  Jana imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Ligi  daraja la Nnne Wilaya ya Morogoro.

Habari na picha zaidi za tukio hilo zitaruja hewani hivi punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote

No comments:

Post a Comment