Thursday, March 21, 2024

PICHA YA WIKI. MAPAPARAZI KAZINI.


 


Wapiga Picha kutoka vyombo mbali mbali vya habari wakiwa kazini uwanja wa Jamhuri Morogoro.

Kutoka [[kuliani] ni ‘Mjeshi’Malima Mpiga Picha kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania’JWTZ’.

[Kati]. Ni  Mwamba Warioba kutoka Magazeti ya Uhuru na Mzalendo.

Mwisho kushoto Mwenye Pensi ni Mwandishi wa Mtandao huu Dustan Shekidele.Ez Come Ez Go.

No comments:

Post a Comment