Tuesday, March 26, 2024

BIDHAA ZA ARSENALNDANI YA KIHONDA MOROGORO


Kiwanda kikubwa cha Kutengeneza nguo Cha Polster kilichopo eneo la Viwanda Kihonda Morogoro linatengeneza Mashuka na khanga zenye nembo ya timu kubwa duniania ya Arsenal.

Pichani basi dogo la kiwanda hicho  likiingia uwanja wa Jamhuri kwenye Siku Kuu ya wafanyakazi ‘Mei Mosi’.

             Shabiki kindaki ndaki wa Arsenal Dustan Shekidele

 

     lfahamike awari kiwanda hicho kilikuwa mali ya serikali kabla ya utawara wa awamu ya 3 chini Hayati Benjani Mkapa kukibinafsisha  kwa mfanyabiashara Maarufu nchini Mohamed Dewji ‘Mo.’

No comments:

Post a Comment