Monday, February 5, 2024

KUMBUKIZI.


 


“Nyumbani ni Nyumbani. Mkataa kwao Mtumwa.

 Nikiwasili  nyumbani kwetu stend kuu ya Mkongoroni Tarafa ya Mlalo Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga.

Ifahamike  Jimbo la Mlalo linaloongozwa na Mbunge Machachari Mh   Rashid Abdallah Shangaji”

No comments:

Post a Comment