Tuesday, October 17, 2023

KUMBUKIZI YA MASTAA ‘WAHENGA’ WA YANGA.


 


Kutoka Kulia Edibili Lunyamila’Winga teleza hadi leo sidhani kama lekodi yake ya uchezaji imevunjwa’

Kati Kiungo ‘ Udambwi udambwi’ Mjambara Sikilojo Chambua’ baada ya soka sasa hivi ni mchambuzi wa soko akilichamboa soka kama lilivyo jina lake.

Kushoro Poul John Masanja’PJM’ Msukuma wa kwanza kuvaa jezi za Yanga kwa nafasi ya Ushambauliaji Mishuti yake Aziz K ey akasome. Na Dustana Shekidele, Morogoro.

No comments:

Post a Comment