HABARI ZA KIJAMII, SIASA,MICHEZO BURUDANI HADITHI NA MAKALA
▼
Saturday, June 24, 2023
MASTAA SIMBA. YANGA.AZAM WAMENG’ARA KWENYE TAMASHA LA MORO KIDS
Kiungo Ounda wa Simba Mzamiru Yassin[kulia' Winga hatari ya Namungo Shiza Kichuya aliyenyoosha Mikono na beki wa Dodoma Jiji Hassan Kessy anayezungumza na refa mastaa hao wakijianda kupiga mpira wa faulo
Mastaa hao
ni pamoja na Mzamiru Yassin, Shomari Kapombe, Zawadi Mauya, na Shiza Kichuya,
Habari
kamili na picha za tukio hilo zitafuka hewani hivi punde hivyo endelea kuwa
jirani na Mtandao Pendwa wa Shekidele Muda wote.
No comments:
Post a Comment