HABARI ZA KIJAMII, SIASA,MICHEZO BURUDANI HADITHI NA MAKALA
▼
Thursday, June 8, 2023
IMEISHA HIYO.BAADA YA MZOZO KUDUMU KWA MIEZI 6 KAMA JEZI YAKE NO 6 FEI KATUA AZAM
Baada ya mipasho iliyodumu kwa takribani miezi 6 kati ya Mchezaji Feisal Salum'Fei Toto' na timu yake ya Yanga, hatimaye Mchezaji huyo mwenyeji wa Zanzibar leo ametangzwa kujiunga na matajiri wa Chamazi Azam Fc wana ramba ramba'
No comments:
Post a Comment