Sunday, April 16, 2023

UJUMBE WA NENO LA MUNGU


 

WAKORINTHO 10 -13.

 “Jaribu halikuwapaya nyinyi,isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu,ila Mungu ni Mwaminifu ambaye hatawaacha Mjaribiwe kupita mwezavyo,lakini pamoja na lile jaribu atafanya na Mlango wa kutokea ili Mweze kustahimili.”Hilo ndilo neno letu la leo Jumapili ya April 16.

No comments:

Post a Comment