Sunday, April 9, 2023

UJUMBE WA JUMATATU YA PASAKA KWA WAPENDWA WANGU.



 


Unatoka katika mistari 2 tofauti kwenye kitabu kitakatifu cha biblia.

Mithari 23.35”Utasema wamenichapa wala sikuumia,wamenipiga wala sina habari,nitaamka lini,nitazidi kujitafuta tena”

Zaburi 120.1

”Katika shida yangu  nilimlilia Bwana naye akaniitikia”

No comments:

Post a Comment