Tuesday, December 13, 2022

YUWAPI MSANI HUYU WA SINGELI?


                                                Man Fongo

 KUMBUKIZI

 

Mkali huyu wa Muziki wa Uswazi;Singeli’ kwa sasa nyota yake imefifia huku nyota ya Dulla Makabila ikizidi Kung’ara kwenye Muziki huo wa Singeli Michano.

 

Pichani aliyekuwa mkali wa Singeli nchini Man Fongo akihojiwa na Mwandishi wa Mtandao huu hii ni Miaka 4 iliyopita. Wakati huo Mkali huyo akiitikisa nchini na Muziki huo wa Uswazi akila sahani Moja na Mwasisi wa Muziki huo Msagasumu

 

No comments:

Post a Comment