Saturday, December 17, 2022

KUMBUKIZI YA KIFO CHA MNENGUAJI MAARUFU NCHINI.


 Aisha Madinda akifanya yake kwenye mmoja ya kumbi za starehe enzi za Uhai wake


 

Tarehe kama ya leo 17- 12- 2014 Mnenguaji Mahiri wa band ya Afrikan Stars’Twanga Pepeta’Aisha  Mbegu Maarufu 'Aisha Madinda' Mpendwa wetu huyo alifariki dunia

Mashabiki wako tutakukumbuka daima Mpendwa wetu leo umetimiza miaka 8 toka ututoke.  tutaonana baadae Aisha,

 

‘Bwana ametoa na Bwana ametwa jina lake lihimidiwe,punzika kwa amani Aisha Madinda’

No comments:

Post a Comment