Wednesday, September 7, 2022

KUMBUKIZI. YA MAKOCHA WA TAIFA STAR


 


Makocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania’Taifa Stars’ Mtanzania John Simkoko[kushto] akiteta Jambo na Kocha wa zamani wa timu hiyo Mbrazir Marcio Maximo. 
 
Wawili hao walinaswa na Kamera za Mtandao huu kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro miaka kadhaa iliyopita

No comments:

Post a Comment