Monday, August 1, 2022

LOLOTE LITAKALO NI FIKA NITAMTEGEMEMA MUNGU


 

“Lolote litakalo nifika liwe baya  ama zuri  nitapiga goti nikimtumaini Bwana, kamwe sita nung’unika  nikavuka mipaka ya kukufuru.

 

Zaidi nitamuomba Mungu aongeze kiwango changu cha lmani juu yake, kwani  natambua kwenye safari ya Maisha hapa chini ya jua kuna nyakati za furaha na nyakati za hudhuni”

No comments:

Post a Comment