Wednesday, June 22, 2022

KIJIWE NONGWA. KILICHOBEBA JUMBE MBALI MBALI








 


Kama kawaida mtumishi wako kila wiki naweka Bando linalonitembeza kwenye Mitandao ya Kijamii.

 

 kusaka Mabango Yenye Jumbe Mbali mbali zikiwemo Jumbe za  Kuelimisha, Kukosoa na Maneno ya hekima yanayotukumbusha  kuwa jirani na Mwenyezi MUNGU Muda Wote.

 

Tukutane Wiki Ijayo kwa mabango Mengine yenye Jumbe Moto Moto.

No comments:

Post a Comment