Hii ni miaka 6 iliyopita Mlemevu wa miguu Bw Joseph Mwendapole aliyeamua kuvamia madhebahu na kumtunza Pesa Mwimbaji Maarufu nchini wa nyimbo za lnjiri Neema Mwaipopo, baada ya kuguswa na wimbo wa 'Nipate wapi mtu kama huyu'uliokuwa ukiimbwa na msanii huyo.

No comments:
Post a Comment