Saturday, April 30, 2022

MICHUANO YA UNDER TWENTY 2022 MORO.

Kikosi cha Moro Kids Vijana wanaodaiwa kuwa na Umri chini ya Miaka 20
Kikosi cha Black Viba Vijana wanaodaiwa kuwa chini ya Umri wa Miaka 20











 Super Sub Messi wa Vibandani akiinvgia uwanjani kuchukua nafasi ya Mtu
 


 BLACK Viba’Weusi wa Vibandani’ walivyoihenyesha Moro Kids kwenye Michuano ya Vijana Chini ya Miaka 20 ’Under Twenty’yanayoendelea kutimua vumbi Uwanja wa Saba saba Manispaa ya Morogoro.Picha zote na Dunstan Shekidele,Morogoro

No comments:

Post a Comment