Sunday, March 6, 2022

JUMBE WA NENO LA MUNGU


 

Zaburi 91

Mstari13-16

”Utakanyaka Simba na Nyoka Mwana Simba na Joka  Utawaseta kwa Mguu.

 

Kwa kuwa amekaza Kunipenda nitamwokoa na kumweka Palipo Juu kwa kuwa amenijua Jina langu.

 

Ataniita nami nitamwitikia nitakuwa pamoja naye taabuni nitamwokoa na Kumtukuza.

 

Kwa siku nyingi nitamshibisha nami nitamwonyesha Wokovu wangu.”

 

Hilo ndilo neno la Mungu ninalowaachia wapendwa wangu Jumapili ya leo March 6.

No comments:

Post a Comment