UTALII WA NDANI.
Nimetembelea Jumba la makumbusho ya Azimio la Arusha
ambalo liko eneo la Kaloleni Jijini Arusha..
...Niko kwenye Mnara uliopo jirani na Jengo hilo la Makumbusho ya Azimio la Arusha nikijianda kuingia kwe nye Mjengo huo ....Hili ndio jumba ambalo ndani yake kuna Makumbusho mbali mbali yakiyemo ya Azimo la Arusha
No comments:
Post a Comment