Tuesday, December 21, 2021

MCHEZAJI ATOKA UWANJANI NA KUMYWANGA MABUSU MKEWE

MSIKIE beki wa timu ya Mkundi United Joseph Barnabasi aliyetoka uwanjani na kumtwanga mabusu mkewe baada ya kufunga mabao 3 kwenye fanaili za ligi daraja la Tatu Mkoa wa Morogoro

No comments:

Post a Comment