Monday, December 20, 2021

HATIMAYE LUMBESA LA TAKATAKA LAONDOLEWA KATIKATI YA BARABARA

             Baada ya Takataka hizo kuondolewa barabarani

                 Kabla ya takataka hizo kuondolewa barabarani

 Hatimaye lundo la takataka lililotelekezwa barabani limeondolewa baada ya Mtandao huu kuripoti kero hiyo ya wananchi wa Mtaa wa Makondeko Kata ya Mwembesongo Manispaa ya Morogoro.

No comments:

Post a Comment