Mwandishi wa Mtandao pichani akitafuta habari kwenye maeneo mbali mbali ya wilaya za Mkoa wa Morogoro Mwandishi wa Mtandao huu aking'oa kisiki Mzazi anapokuambia Mwanangu kuwa uyaone hana maana . uyaone Maghorofa ya Mjini au Vichaka vya Kijijini
Ana maana Uyaone maisha yalivyo na Changamoto. zake Hasi na Chanya. Negative na Positive,Raha na Shida.Matamu na Machungu
No comments:
Post a Comment