Tuesday, September 14, 2021

HUO SIO MLIMA KILIMANJARO NI NYWELE ZA RAS RICH.

                                               Ras Rich
Ras Rich akigeua staili ya nywele zake akiifunga style ya Mapembe ya Ng'ombe
Ras Rich akigonga 5 na msele wake ambaye pia ni Mpiga debe  Stend ya Msamvu Moro.


AKILI ni Nywele kila mtu anazake, Mpichani Mpiga debe Maarufu wa Stend ya Mabasi ya Mikoa ya Msamvu Morogoro Richard ‘Maarufu Ras Rich’ akizungumza na Mwandishi wa Mtandao huu huku akizisokota Nywele zake.

Ras Rich alisema nywele  hizo zina umri wa zaidi ya miaka 10 Picha na Dunstan Shekidele,Morogoro.

 
 

No comments:

Post a Comment