Sunday, August 22, 2021

JUMBE WA NENO LA MUNGU LEO JUMAPILI

Hii ni jana nikiwa kwenye moja ya baa zilizopo katikati ya Mji wa Morogoro, nikipiga kazi kusaka ridhiki  ili niwatunze walio wangu wakiwemo Ndugu na Jamii yenye  shida mbali mbali naamini hao pia ni wangu.

 


                                    1Themotheo 5-8

“Lakini mtu ye yote asiyewatunza waliowake,yaani wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana lmani tena ni mbaya kuliko mtu  asiyeamini”Hilo ndilo neno letu la leo Agost 22.  

   

No comments:

Post a Comment