Diwani wa Kata ya Mkundi Mh Seif Chomoka ambaye al;ikuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya Michuano ya The Gunners Ndondo Cup iliypigwa jana uwanja wa Saba saba Manispaa ya Morogoro akifuatilia Mtanange huo kati ya Wakushi Fc na Chadongo Fc.
Wakushi aliibuka Bingwa wa Michuano hiyo baada ya kuitandika Chadongo Pelnaty 5-4, dakika 90 za awari timu hizo zilitoka sale ya bao 1-1
No comments:
Post a Comment